Posts

Showing posts from July, 2017

Matukio ya Picha ya Harusi ya Corn na Sala Mwakisu

Image
Bibi Harusi  Sala Mwakisu Mkazi wa Majengo Jijini Mbeya akiwa na Mume Wake Corn Raia wa nchini  Denmark kwenye sherehe ya Ndoa yao iliyofanyika katika ukumbi wa Royal Tughimbe jijini Mbeya.

Maadhimisho ya Miaka 21 ya Radio Maria

Image
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akimlisha keki Mkuu Wilaya ya Mbeya Paul Ntinika katika maadhimisho ya Radio Maria yaliyofanyika katika viwanja vya kanisa kuu la kiaskofu jimbo la Mbeya