Karibu kwenye fashionbrandy.blogspot.com itakayokuwezesha wewe kuweka na kujionea matukio muhimu ya sherehe mbali mbali na mitindo ya mavazi. tutakufikia popote ulipo.
Maadhimisho ya Miaka 21 ya Radio Maria
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akimlisha keki Mkuu Wilaya ya Mbeya Paul Ntinika katika maadhimisho ya Radio Maria yaliyofanyika katika viwanja vya kanisa kuu la kiaskofu jimbo la Mbeya
Mshindi wa kwanza wa Miss Mbeya vijijini 2014 Atukuzwe Fabiani aliyekaa akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Pendo Nelson na watatu Neema Tadei.
Wadau na marafiki wa ABG Saloon ya Jijini Mbeya Wakiwa Katika Picha ya Pamoja katika Maadhimisho ya miaka 16 ya saloon hiyo Yaliyofanyika 2014 Katika Ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini hapa.
Comments
Post a Comment