Matukio Katika Picha ya Miss Mbeya Vijijini 2014

 Mshindi wa  kwanza  wa Miss Mbeya vijijini 2014 Atukuzwe Fabiani  aliyekaa akiwa  katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Pendo Nelson na watatu  Neema Tadei.





Ofisa uhusiano wa nje wa kampuni ya bia(TBL) Abubakar Mansoli akimkabidhi mshindi wa mashindano ya urembo ya Miss Mbeya vijijini  2014 Atukuzwe Fabian zawadi ya seti  Kopyuta yenye thamani Sh800,000 baada ya kunyakua Taji hilo katika ukumbi wa Royal  Tughimbe Mbalizi Mbeya vijijini.

Comments

Popular posts from this blog