Karibu kwenye fashionbrandy.blogspot.com itakayokuwezesha wewe kuweka na kujionea matukio muhimu ya sherehe mbali mbali na mitindo ya mavazi. tutakufikia popote ulipo.
Matukio katika picha ya sherehe ya Kitchen Party ya Dida Katika Ukumbi wa Rehema Jijini Mbeya
Mshindi wa kwanza wa Miss Mbeya vijijini 2014 Atukuzwe Fabiani aliyekaa akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Pendo Nelson na watatu Neema Tadei.
Bibi Harusi Sala Mwakisu Mkazi wa Majengo Jijini Mbeya akiwa na Mume Wake Corn Raia wa nchini Denmark kwenye sherehe ya Ndoa yao iliyofanyika katika ukumbi wa Royal Tughimbe jijini Mbeya.
Comments
Post a Comment